Skip to content
New issue

Have a question about this project? Sign up for a free GitHub account to open an issue and contact its maintainers and the community.

By clicking “Sign up for GitHub”, you agree to our terms of service and privacy statement. We’ll occasionally send you account related emails.

Already on GitHub? Sign in to your account

Swahili add 'Community' import from Crowdin #7032

Merged
merged 9 commits into from
Jul 13, 2022
Merged
Show file tree
Hide file tree
Changes from all commits
Commits
File filter

Filter by extension

Filter by extension

Conversations
Failed to load comments.
Loading
Jump to
Jump to file
Failed to load files.
Loading
Diff view
Diff view
24 changes: 24 additions & 0 deletions src/content/translations/sw/community/events/index.md
Original file line number Diff line number Diff line change
@@ -0,0 +1,24 @@
---
title: Matukio ya Ethereum
description: Jinsi ya kushiriki kwenye jamii ya Ethereum.
sidebar: true
lang: sw
---

## Matukio yajayo {#events}

**Kila mwezi, kuna matukio muhimu ulimwenguni kote.** Fikiria kuhusu kushiriki mkutano mmoja ulio jirani na wewe ukutane na watu wengi walio kwenye jamii, jifunze juu ya kupata fursa za kazi na jenga ujuzi mpya.

<UpcomingEventsList/>

Hii ni orodha isyo kamili inayohifadhiwa na jamii yetu. Unajua mkutano ujao wowote wa Ethereum wa kuongeze kwenye orodha hii? [Tafadhali uongeze](https://github.com/ethereum/ethereum-org-website/blob/dev/src/data/community-events.json)!

## Mikutano ya Ethereum {#meetups}

Hauoni mkutano unaokufaa? Jaribu kuingia kwenye mkutano. Mikutano hii ni midigo inayoandaliwa na wapenzi wa Ethereum - hii ni nafasi ya watu wanaovutiwa na Ethereum kukutana, kujadili kuhusu Ethereum, na kujifunza maendeleo ya hivi karibuni.

<MeetupList />

Unataka kuanzisha mkutano wako mwenyewe? Tupa jicho kwenye [Mtandao wa BUIDL](https://consensys.net/developers/buidlnetwork/), ambao ni mpango wa ConsenSys unaosaidia mikutano yote ya kijamii ndani ya Ethereum.

Hii ni orodha isiyo kamili inayohifadhiwa na jamii yetu. Unaweza [kupata mikutano zaidi hapa](https://www.meetup.com/topics/ethereum/). Unajua mkutano wowote unaoendelea wa kuongeza kwenye orodha? [Tafadhali uongeze hapa](https://github.com/ethereum/ethereum-org-website/blob/dev/src/data/community-meetups.json)!
118 changes: 118 additions & 0 deletions src/content/translations/sw/community/get-involved/index.md
Original file line number Diff line number Diff line change
@@ -0,0 +1,118 @@
---
title: Nawezaje kushiriki?
description: Jinsi ya kushiriki kwenye jamii ya Ethereum.
sidebar: true
lang: sw
---

# Ninaweza kushiriki vipi? {#get-involved}

Jumuiya ya Ethereum inahusisha watu wa asili tofauti na wenye ujuzi wa kila aina. Endapo wewe ni msanii, msimbuaji au mhasibu, kuna njia za kujihusisha. Hii ni orodha ya mapendekezo yanayoweza kukusaidia.

## Wasimbuaji <Emoji text=":computer:" size={1} /> {#developers}

- Jifunze kuhusu Ethereum na ijaribishe kwenye [etehereum.org/developers/](/developers/)
- [Tafuta fadhila kwenye Gitcoin](https://gitcoin.co/), fanyia kazi itilafu ndogo ama kubwa na ujipatie kripto!
- Shiriki kwenye[ETHGlobal](http://ethglobal.co/)hackathon iliyokaribu nawe!
- Vinjari juu ya [miradi inayohusiana na taaluma yako au lugha ya usimbuajiutakayochagua.](/developers/docs/programming-languages/)
- Tazama au shiriki kwenye [mikutano ya wasimbuaji wa ndani](https://www.youtube.com/playlist?list=PLaM7G4Llrb7zfMXCZVEXEABT8OSnd4-7w)
- [Orodha pendekezwa ya kuunga mkono Ikolojia ya Ethereum](https://esp.ethereum.foundation/wishlist/) - maeneo amabayo Ikolojia ya Ethereum inatafuta maombi ya fedha kwa ajili ya vifaa, nyaraka, na miundombinu
- [Daraja la Web3](https://www.web3bridge.com/) - jiunge na wapenzi wa web3 kwenye mpango wa kutambua, kujifunza, na kuunga mkono mamia ya wasanidi programu na wanachama Afrika

## Watafiti & Taaluma <Emoji text=":mag:" size={1} /> {#researchers-and-academics}

Una taaluma ya hisabati, kriptografia ama uchumi? Unaweza kupenda kazi za viwango vya juu, zilizofanywa na ikolojia ya Ethereum

- [Changamoto.ethereum.org](https://challenges.ethereum.org/) - mfululizo wa itilafu zilizofanyiwa uchunguzi, unapoweza kujipatia hadi >$100,000 USD
- [Ethersear.ch](https://ethresear.ch) - Jukwaa la msingi la Ethereum la watafiti, na jukwaa lenye ushawishi mkubwa zaidi duniani kwenye sdarafu za kripto
- [Orodha pendekezwa ya kuunga mkono Ikolojia ya Ethereum](https://esp.ethereum.foundation/wishlist/) - maeneo amabayo Ikolojia ya Ethereum inatafuta maombi ya fedha kwa ajili ya vifaa, nyaraka, na miundombinu

## Seti zisizo za kiufundi <Emoji text=":briefcase:" size={1} /> {#non-technical}

Kama wewe sio msanidi programu, inaweza kua vigumu kujua ni wapi unapaswa kuanzia kwenye Ethereum. Kuna mapendekezo kadhaa, pamoja nayo ni vyanzo maalumu kwa kila asili ya taaluma.

### Panga kikao kwenye mji wako {#meetups}

- Huna uhakika jinsi ya kuanza? [Mtandao wa BUIDL](https://consensys.net/developers/buidlnetwork/) unaweza kukusaidia.

### Andika maudhui kuhusu Ethereum {#write-content}

- Ethereum inahitaji waandishi wazuri wanaoweza kuelezea thamani yake kwa kutumia lugha rahisi
- Hauko tayari kuchapisha makala yako pekee? Zingattia kuchangia kwenye maudhui yaliopo kwenye vyanzo vya jumuiya kama [EthHub](https://docs.ethhub.io/), ama pendekeza maudhui mapya kwa ajili ya ethereum.org!

### Toa msaada wa kuandika muhtasari kwenye mikutano ya jumuiya {#take-notes}

- Kuna mikutano mingi ya jumuiya, na kua na waandishi wa mihutsari itasaidia sana. Kama ungependa, jiunge na discord ya [ Wafugaji wa Paka wa Ethereum (Ethereum Cat Herders)](https://discord.com/invite/Nz6rtfJ8Cu), na ujitambulishe!

### Tafsiri maudhui ya Etjereum kwenda kwenye lugha mama, ama lugha uliozaliwa ukizungumza {#translate-ethereum}

- ethereum.org husimamia programu ya ufasiri inayo fasiri tovuti, na vyanzo vingine, kwenda kwenye lugha zingine tofauti
- Jifunze jinsi ya kuchangia[hapa](/contributing/translation-program)

### Endesha nodi {#run-a-node}

Jiunge na maelefu ya waendesha nodi kwa ugatuzi mkubwa zaidi wa Ethereum.

- [Zaidi juu ya kuendesha nodi](/developers/docs/nodes-and-clients/run-a-node/)

### Weka hisa za ETH {#staking}

Kwa kusimamisha hisa zako za ETH unaweza kupata zawadi huku ukisaidia kulinda mtandao wa Ethereum.

- [Zaidi juu ya kusimamisha hisa](/staking/)

### Unga mkono miradi {#suport-projects}

Ikolojia ya Ethereum iko njiani katika kufadhili bidhaa za umma na miradi inayoleta tofauti katika Ethereum. Kwa mchango mdigo tu unaweza kuunga mkono na kuruhsu kazi muhimu kutekelezwa.

- [Gitcoin](https://gitcoin.co/fund)
- [clr.fedha](https://clr.fund/#/about)

## Wataalamu wa Kifedha & Akaunti <Emoji text=":chart_with_upwards_trend:" size={1} /> {#financial-professionals}

- Ethereum ni mji wa ikolojia ya "feddha zilizogatuliwa" - mtandao wa itifaki na programu zinatoa huduma mbadala za kifedha. Kama wewe ni unataaluma ya uchumi, tazama app za DeFi kwenye [DeFi Pulse](https://defipulse.com/) ama [DeFiprime](https://defiprime.com)
- Mhasibu? Mali za Ethereum - ETH, tokeni, DeFi, nk - tambulisha masuala mengi ya riwaya. Unaweza kuanza kwa kutazama baadhi ya miradi inayolenga kusaidia watumiaji wa sarafu ya kripto na kupanga vitabu vyao & changamoto za uhasibu, kama [Rotki](https://rotki.com/)

## Wasimamizi wa bidhaa <Emoji text=":fountain_pen:" size={1} /> {#product-managers}

- Ikolijia ya Ethereum inahitaji talanta zako! Makampuni mengi yanatoa ajira kwa wasimsmizi wa bidhaa. Kama unataka kuanza kwa kuchangia kwenye mradi wa vyanzo huria, wasiliana na [Wafugaji wa Paka wa Ethereum](https://discord.com/invite/Nz6rtfJ8Cu) ama [MetaCartel](https://www.metacartel.org/)

## Masoko <Emoji text=":megaphone:" size={1} /> {#marketing}

- Kuna nafasi nyingi za masoko na mawasiliano kwenye ikolojia ya Ethereum!

## Ajira za Ethereum {#ethereum-jobs}

**Unataka kupata ajira kwenye Ethereum?**

- [ajiara za ethereum.org](/about/#open-jobs)
- [Bodi ya kazi ya Msingi wa Ethereum (Wenzo)](https://jobs.lever.co/ethereumfoundation)
- [Bodi ya kazi ya Msingi wa Ethereum (BambooHR)](https://ethereum.bamboohr.com/jobs/)
- [Kazi za sarafu ya kripto](https://cryptocurrencyjobs.co/ethereum/)
- [Kazi-za.kripto](https://crypto.jobs/)
- [Ajira kwenye ConsenSys](https://consensys.net/careers/)
- [Orodha ya kazi za kripto](https://cryptojobslist.com/ethereum-jobs)
- [Bodi ya ajira zisizo za benki](https://pallet.xyz/list/bankless/jobs)
- [tumia kazi za Web3](https://www.useweb3.xyz/jobs)
- [Kazi za Web3](https://web3.career)
- [Jeshi la Web3](https://web3army.xyz/)

## Jiunge na DAO {#decentralized-autonomous-organizations-daos}

"DAOs" ni mashirika huru yaliogatuliwa. Haya makundi yanainua teknolojia ya Ethereum ili kuwezesha ushirikiano. Kwa mfano, kudhibiti uanachama, upigaji kura wa mapendekezo, ama kusimamia mali zilizokusanywa. Huku DAO bado ziko kwenye majaribio, zinatoa fursa ya kupata makundi unayofanana nayo, utapata washiriki na kukuza mchango wako kwenye jumuiya ya Ethereum. [Zaidi juu ya DAOs](/dao/)

- [DAOSquare](https://www.daosquare.io) [@DAOSquare](https://twitter.com/DAOSquare) - _Tangaza dhana ya DAO katika nyanja zisizo za kiufundi na usaidie watu kupata thamani kupitia DAO._
- [Msanidi DAO](https://www.developerdao.com/) [@Msanidi_dao](https://twitter.com/developer_dao) - _Jumuiya ya wajenzi wanaoamini katika umiliki wa ushirika wa mtandao_
- [dOrg](https://dOrg.tech) [@dOrg_tech](https://twitter.com/dOrg_tech) - _Mfanyakazi huru wa Web3 akiafanya kazi kama DAO_
- [DXdao](https://DXdao.eth.link/) [@DXdao](https://twitter.com/DXdao_) - _Uundaji wa ugatiuzi& Utawala wa dApps& itifaki_
- [HausDAO](https://daohaus.club) [@nowdaoit](https://twitter.com/nowdaoit) - _Utawala wa jumuiya ya DAOhaus_
- [Hero DAO](https://herodao.org/) [@hero_dao](https://twitter.com/hero_dao) - _Superhero franchiseinayomilikiwa na jamii_
- [LexDAO](https://lexdao.coop)[@lex_DAO](https://twitter.com/lex_DAO) - _Uhandisi wa kisheria_
- [Machi X](https://machix.com) [@MachiXOfficial](https://twitter.com/MachiXOfficial) - _Jumuiya ya wasanii_
- [MetaCartel](https://metacartel.org) [@Metaa_Cartel](https://twitter.com/Meta_Cartel) - _kiota cha DAO_
- [Ubia wa MetaCartel](https://metacartel.xyz) [@VENTURE_DAO](https://twitter.com/VENTURE_DAO) - _Ubia wa kripto za kabla ya kuanzishwa_
- [MetaMchezo](https://metagame.wtf) [@MetaShamba](https://twitter.com/MetaFam) - _MMORPG makanika ya Mchezo kwenye maisha halisi_
- [KiwandaMeta](https://metafactory.ai) [@KiwandaMeta](https://twitter.com/TheMetaFactory) - _Chapa ya Mavazi ya Nusu dijiti na halisi_
- [ΜΓΔ](https://metagammadelta.com/) (Meta Gamma Delta) [@metagammadelta](https://twitter.com/metagammadelta) - _miradi ilioongozwa na wanawake_
- [Moloch](https://molochdao.com) [@MolochDAO](https://twitter.com/MolochDAO) - _Jumuiya inayolenga kutegemeza uboreshwaji wa Ethereum_
- [Chama cha Uvamizi](https://raidguild.org) [@ChamachaUmavimizi](https://twitter.com/RaidGuild) - _Mkusanyiko wa wajenzi wa Web3_
48 changes: 48 additions & 0 deletions src/content/translations/sw/community/grants/index.md
Original file line number Diff line number Diff line change
@@ -0,0 +1,48 @@
---
title: Msingi wa Ethereum na mipango ya ruzuku ya jamii
description: Orodha ya mipango ya ruzuku katika mazingira yote ya Ethereum.
sidebar: true
lang: sw
---

# Ruzuku za Ethereum {#ethereum-grants}

Programu zilizoorodheshwa hapa chini hutoa misaada ya ufadhili kwa miradi inayofanya kazi ya mafanikio na ukuaji wa ikolojia ya Ethereum. Tumia hii kama mwongozo kupata na kuomba pesa ili ufaniskishe mradi wako ujao wa Ethereum.

Orodha hii imepangwa na jamii yetu. Ikiwa kuna kitu kinakosekana au sio sahihi, tafadhali hariri ukurasa huu!

## Mfumo mpana wa ikolojia ya Ethereum {#broad-ethereum-ecosystem}

Programu hizi zinasaidia ikolojia ya Ethereum kwa kutoa fedha kwa miradi mingi. Hizi ni pamoja na suluhu za kutoweka, ujenzi wa jamii, usalama, faragha, na zaidi. Ruzuku hizi sio maalum kwa jukwaa moja la Ethereum na ni mahali pazuri pa kuanzia ikiwa huna uhakika.

- [Programu ya Usaidizi wa Ekolojia ya EF](https://esp.ethereum.foundation) - _Kufadhili miradi ya chanzo wazi ambayo inanufaisha Ethereum, kwa kuzingatia zana za ulimwengu , miundombinu, utafiti na bidhaa za umma_
- [RFPs za Ethereum](https://github.com/ethereum/requests-for-proposals) - _Maombi ya Mapendekezo na Ethereum Foundation ya kazi na miradi katika ikolojia ya Ethereum_
- [MetaCartel](https://www.metacartel.org/grants/) - _Uendelezaji wa Dapp, uundaji wa DAO_
- [Moloch DAO](https://www.molochdao.com/) - _Faragha, ukuaji wa safu ya 2, usalama wa mteja, na zaidi_
- [Ruzuku zilizo wazi](https://opengrants.com/explore)
- [Ruzuku za DAO](https://docs.google.com/spreadsheets/d/1XHc-p_MHNRdjacc8uOEjtPoWL86olP4GyxAJOFO0zxY/edit#gid=0) - _Ukurasa wa google wa mashirika yanayotoa Ruzuku._

## Mradi maalum {#project-specific}

Miradi hii imeunda misaada yao kwa miradi inayolenga kukuza na kujaribu teknolojia yao wenyewe.

- [Mpango wa Ruzuku wa Aave](https://aavegrants.org/) - _[Aave](https://aave.com/) hutoa ruzuku za DAO_
- [Balancer](https://forms.gle/c68e4fM7JHCQkPkN7) - _[fedha za ikolojia ya ](https://balancer.fi/) Balancer_
- [Mpango wa Ruzuku za Compound](https://compoundgrants.org/) - _[Compaound](https://compound.finance/) hugharamia ikolojia_
- [Mpango wa Ruzuku wa Consensys](https://consensys.net/grants/) - _[Consensys](https://consensys.net/)fedha za minyororo ya blocku & ruzuku za Ethereum_
- [Programu ya Ruzuku ya dYdX](https://dydxgrants.com/) - _[dYdX](https://dydx.exchange/)masoko yaliogatuliwa_
- [Shirika la Ruzuku ya Ikolojia ya Lido (LEGO)](https://lego.lido.fi/) - _[hugharamia ikolojia ya ](https://lido.fi/)Lido_
- [Programu ya Ruzuku ya mStable](https://docs.mstable.org/advanced/grants-program) - _[jamii ya ](https://mstable.org/)mStablei_
- [Grafu](https://airtable.com/shrdfvnFvVch3IOVm) - _[Ikolojia ya ](https://thegraph.com/)Grafu_
- [Programu ya Ruzuku za Uniswap](https://www.unigrants.org/) - _[Jamii ya ](https://uniswap.org/)Uniswap_

## Ufadhili wa Kwadratiki {#quadratic-funding}

Mizizi ya wazi ya Ethereum imesababisha ukuaji wa mtindo mpya wa kuvutia wa kukusanya fedha: fedha za kwadratiki. Hii ina uwezo wa kuboresha jinsi tunavyofadhili aina zote za bidhaa za umma katika siku zijazo. Ufadhili wa kwadaratiki huhakikisha kuwa miradi inayopokea ufadhili mwingi ni ile yenye mahitaji ya kipekee. Kwa maneno mengine, miradi ambayo inasimama kuboresha maisha ya watu wengi. [Zaidi juu ya ufadhili wa kwadaratiki.](/defi/#quadratic-funding)

- [Gitcoin](https://gitcoin.co/grants)
- [clr.fedha](https://clr.fund/)

## Fanya kazi kwenye Ethereum {#work-in-ethereum}

Hauko tayari kuanza rasimu yako mwenyewe? Kuna makampuni zaidi ya mia moja yanayotafuta watu binafsi wenye shauku wafanye kazi na kutoa michango kwenye ikolojia ya Ethereum. Unatafuta taarifa zaidi? [Angalia kazi zinazohusiana na Ethereum](/community/get-involved/#ethereum-jobs)
Loading